Matthew 27:34

34 aHapo wakampa Yesu divai iliyochanganywa na nyongo ili anywe; lakini alipoionja, akakataa kuinywa.
Copyright information for SwhNEN